Jumla ya Mara Iliyotazamwa

22 Mei 2015

JOSE MOURINHO NA EDEN HAZARD WATWAA TUZO UINGEREZA

Chelsea manager Jose Mourinho celebrates winning the Barclays Manager of the Season Award with his back room team from Stamford Bridge 
Na ibrahim kasuga

Kocha wa Chelsea jose mourinho na kiungo mshambuliaji wa timu hiyo eden hazard wametwaa tuzo ya kocha bora na mcheza bora wa msimu wa 2014-15 katika ligi kuu ya nchini uingereza. Mourinho ameiwezesha Chelsea kuchukua kombe lao la kwanza katika kipindi cha miaka mitano, hazard ameifungia timu yake magoli 14 na pasi za magoli 8.

Jose mourinho amewapiku makocha wa nne katika kinyanganyilo hicho akiwemo arsene wenger wa arsenal, garry monk wa Swansea city, reonald koeman wa saouth amptonton na nigel pearson wa Leicester city
Na hazard ameweza kuchaguliwa kuwa mchezaji bora katika msitu wa wachezaji  nane wakiwemo wachezaji wa 3 kutoka katika klabu yake ya Chelsea ambao ni john terry, cecs fabregas na nemanja matic lakin Sergio aguero wa Manchester city, harry kane wa spurs , alex sanchez wa arsenal na goli kipa wa Manchester united david degea. Kwa upande wa hazard ina kuwa ni tuzo yake ya tutu msimu huu.
Mourinho na hazard wamechaguliwa na kamani maalumu ya wadhamini wa ligi hiyo ambao ni baclays ambao ili wajumuisha waandishi wa habari, wachezaji wa zamani na wadau wa soka.