Na ibrahim kasuga
Kocha wa Chelsea jose mourinho na kiungo mshambuliaji wa timu hiyo eden hazard wametwaa tuzo ya kocha bora na mcheza bora wa msimu wa 2014-15 katika ligi kuu ya nchini uingereza. Mourinho ameiwezesha Chelsea kuchukua kombe lao la kwanza katika kipindi cha miaka mitano, hazard ameifungia timu yake magoli 14 na pasi za magoli 8.
Jose
mourinho amewapiku makocha wa nne katika kinyanganyilo hicho akiwemo arsene
wenger wa arsenal, garry monk wa Swansea city, reonald koeman wa saouth
amptonton na nigel pearson wa Leicester city
Na
hazard ameweza kuchaguliwa kuwa mchezaji bora katika msitu wa wachezaji nane wakiwemo wachezaji wa 3 kutoka katika
klabu yake ya Chelsea ambao ni john terry, cecs fabregas na nemanja matic lakin
Sergio aguero wa Manchester city, harry kane wa spurs , alex sanchez wa arsenal
na goli kipa wa Manchester united david degea. Kwa upande wa hazard ina kuwa ni
tuzo yake ya tutu msimu huu.
Mourinho
na hazard wamechaguliwa na kamani maalumu ya wadhamini wa ligi hiyo ambao ni
baclays ambao ili wajumuisha waandishi wa habari, wachezaji wa zamani na wadau
wa soka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni