Jumla ya Mara Iliyotazamwa

29 Ago 2014

MTANGAZAJI LA CLOUDS FM (LOVENESS DIVA) AVUJISHA MESSAGE ZA ZITTO KABWE AKIMTONGOZA: HIZI HAPA


Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni, hivi karibuni baada ya zitto kumkana Diva mtangazaji wa alla za roho wa clouds FM, Kuwa hajawahi kuwa naye kimapenzi na Diva amekuwa akijitangaza sana amekuwa naye kimapenzi, sasa Diva kamuanika hadarani ona hapo chini, ila duu huyu mwanamke ni kiboko,salaleeeeee


YAJUE MADHARA HAYA YA KUFANYA NGONO KINYUME NA MAUMBILE


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh74ZddyNkHsvGqIkaqVvORmFWrh62ASiIesrXH9jKmV8vK47eOEDiO7YOaaKhRfmv_sO47KDS1D70iGn8mcDLlMhoOl_Ixo1-oATeBBZA8AQ4APdfe4wzW9xNIteu5G-uR1vmha9El8uY/s1600/MBUZI.jpg
Habari ndugu mdau wa blog hii,natumaini upo poa na unapendezewa na post zetu,leo tugusie madhara ya kuruka ukuta yaani ngono ya kinyume na maumbile.

Tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice.
Kufanya ngono kusiko a.k.a Tigo “MWIKO” katika jamii nyingi Ulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na inamadhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini.

Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku….lakini mambo hayo ni “taboo” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo

Kuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua “unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.
Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema vibaya tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke mmoja kati ya wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au ni wao wanafurahia)…….wazoefu watusaidie hapa.

Ukweli kuhusu Tigo.- Sio tendo asilia ktk swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako. Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio “natural” na hujisikii vema kushiriki ngono Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.

-Mara mishipa ya Tigo ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.

-Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).

-Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.
Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda.


*** binafsi napinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na unafanya vile utakavyo.

Ushuri wa bure-Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe tako lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.

SMS ZA USAGAJI ZA ANTI LULU ZABAMBWA LIVE BILA CHENGA



Kimenuka! Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini
Dar es Salaam, aliyejitambulisha kwa jina la
Mama Zahara, ameibuka na madai mazito
akimtuhumu msanii wa filamu ambaye pia ni
mjasiriamali, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti
Lulu’ kumtumia ‘SMS’ za usagaji mwanaye
aitwaye Zahara, Ijumaa lina kisa na mkasa.
Mama huyo, akiwa amefura, alitinga kwenye
Ofisi za Magazeti Pendwa ya Global Publishers
zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar, mapema
wiki hii na kueleza kuwa amebaini mchezo
mchafu unaoendelea kati ya binti yake ambaye
ni denti wa kidato cha pili na Anti Lulu.

MSIKIE MAMA MWENYEWE
Akizungumza kwa hasira, Mama Zahara
aliwaka: “Mimi nina mtoto huyu tu wa kike,
anasoma boarding huko Tanga lakini hivi
karibuni alirejea akidai wamepewa likizo ya
wiki moja.
“Tangu huyu mtoto amekwenda boarding,
nimebaini amebadilika sana, amekuwa na
vijitabia ambavyo sivielewi hivyo nikawa
namchunguza sana.
“Leo (Jumanne wiki hii) wakati niko jikoni
nikasikia anaongea na mtu akiwa chumbani
kwake, mazungumzo yale yalinitia shaka kwani
kuna muda nikamsikia ‘akimkisi’ aliyekuwa
anazungumza naye.
“Nilihisi kitu f’lani lakini nikasema nitamvizia
nichukue simu yake nikiamini kama kuna
kinachoendelea nitagundua, na kweli, alipotoka
kwenda bafuni nikaichukua simu yake na
kukutana na mambo ya ajabu.
“Nilinasa hizi sms ambazo zilinionesha
waziwazi kwamba mwanangu anafanya vitendo
vya kisagaji. Niliumia sana hasa ukichukulia
kwamba nina binti huyo tu.“Nilipoichukua ile
namba, nikataka kujua kama kweli alikuwa
anachati na msichana mwenzake au
mwanaume, ikabidi nifanye kama nataka
kumtumia pesa kwenye simu yake na hapo
ndipo likaja jina la Lulu Semagongo.
“Nilishtuka kwani namjua huyu msanii tangu
alipokuwa mtangazaji. Nilipompigia akanijibu
kwa kifupi tu kwamba nimlee vizuri mwanangu
na yeye hawezi kumfanyia vitendo hivyo,
nikaona bora nije kwenu mtanisaidia.”
MESEJI ZENYEWE ZIKOJE?
Zahara: Natamani kufanya kale kamchezo,
unaweza kunisaidia?
Anti Lulu: Nitumie pesa!
Zahara: Kiasi gani cha pesa? Pesa siyo tatizo,
umenielewa lakini? Nataka tu…(kitendo
kichafu).
Anti Lulu: Nitumie hiyohiyo, kwa muda huu
nitumie 30,000.
Zahara: Sawa halafu tunaonana vipi?
Anti Lulu: Nitumie pesa muda huu, Jumamosi.
Zahara: Mbona mbali sana mpenzi, leo
haiwezekani au hata kesho, pesa siyo tatizo.
Anti Lulu: Nitumie pesa basi.
Zahara: Subiri kidogo baby, simu yenye pesa
iko kwenye chaji, usijali, nashukuru kwa
kunionea huruma.
Anti Lulu: (kimya).

KESHO YAKE
Anti Lulu: Umeona ishu kunidanganya siyo?
Zahara: Siwezi kukudanganya mpenzi, ndiyo
naamka nitakutumia ila usije ukanidanganya
maana nina..., hiyo Jumamosi tunaonana
wapi?
Anti Lulu: Tuta-meet (kukutana) Bondeni Hotel
(ipo Magomeni, Dar), basi nitumie hiyo pesa.
Zahara: Nikutumie kwenye namba hii, vipi
tutatumia vifaa?
Anti Lulu: Nitumie kwenye namba hii.
Zahara: Nijibu basi kama tutatumia vifaa au
hivihivi…
Anti Lulu: Hakuna haja ya vifaa, mimi
natosha…
Zahara: Haya natuma, nitafurahi sana.
Baada ya maelezo ya mama huyo kisha
kuziona sms hizo, kweli zilionesha Zahara
ndiye aliyekuwa akimshawishi Anti Lulu
amfanyie kamchezo hako huku msanii huyo
naye akionesha kuujua na kutaka apewe
kwanza Sh. 30,000.
Kama ilivyo ada ya gazeti hili kutoa nafasi kwa
mtuhumiwa kusikika, Ijumaa lilimsaka Anti
Lulu ili kupata maelezo yake ambapo alikuwa
na haya ya kusema:

HUYU HAPA ANTI LULU
“Kusema ukweli huyo binti ndiye aliyekuwa
akinisumbua kwa kunitumia sms za kunitaka.
“Alionekana kuuzoea na kuupenda sana sana
huo mchezo, mimi sijawahi, ni two different
things (vitu viwili tofauti).
“Inavyoonekana alitaka kunichafua kwani
alinilazimisha sana, sijawahi kufanya huo
mchezo na wala sifikirii hasa kwa binti kama
mimi ambaye naamini wapo wanaume
wanaonipenda, niingie kwenye usagaji natafuta
nini?
“Huyo binti mwambieni anikome kabisa.”

KUTOKA MEZA YA IJUMAA:
Ni vyema wazazi wakawa na utaratibu wa
kuwafundisha watoto wao juu ya madhara ya
kujihusisha na vitendo haramu kwenye jamii ili
wawe na mwanga wa maisha yao ya baadaye
na hasa viongozi wa kesho wa taifa letu.

MAMBO MUHIMU YANAYOZIDISHA UPENDO


katika Mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia Mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe Mapenzi ila katika safu hii nitazungumzia Mambo machache muhimu
yatakayokusaidia kuboresha na kudumisha penzi lako kwa umpendae KARIBU:
YAFUATAYO NI MAMBO MUHIMU YANAYOZIDISHA UPENDO: 
1.KUMNUNULIA ZAWADI MPENZI WAKO:
» Zawadi ni moja ya sehemu husika katika Mapenzi inayoweza kufanya penzi likawa bora na lenye kupendezasiku zote, faham kwamba hakuna mtu asiependa kupewa zawadi na kila anaepewa zawadi siku zote hujihisi kama ni mtu anaependwa na anaejaliwa na kuthaminiwa hususani katika ulimwengu wa Mapenzi unapompa mpenzi wako zawadi basi faham ya kwamba utamfanya mpenzi wako ajione kama ni wapekee kwako na anathamani kubwa kwako hivyo hatosita kudhihirisha mapenzi yake kwako, kikubwa zingatia pindi unaponunua zawadi kwa ajili ya kumpa mpenzi wako jitahidi kuwa mbunifu na uwe ni mwenye kubadilika sio kila siku zawadi zile zile zinajirudia kwa kufanya hivi utamboa mpenzi wako kuwa mbunifu na jaribu kumpa mpenzi wako zawadi zenye kutunzika mfano kama Card, maua, nguo n.k. Utamfanya azidi kukupenda zaidi na zaidi. 
 
2. MSIFIE MPENZI WAKO:
» Sifa zinaleta changamoto katika mapenzi. Unapaswa kutambua kuwa usiwe mchoyo wa sifa kwa mpenzi wako usisubiri watu wapembeni wamsifie mpenzi wako pindi anapofanya jambo zuri na lenye kupendeza chukua nafasi hii wewe kama kioo chake unadhani usipo msifia mwenza wako unataka nani amsifie?! Jitahidi kudhihirisha sifa kwa mpenzi wako kwa mfano umemuona mpenzi wako kapendeza basi usisite kumwambia "Sweetie nimependa vazi lako la leo ama hakika umetoka sex nakutamani zaidi ya siku zote navyokutamani ingawa siku zote unaziteka hisia zangu ila leo ni zaidi" unaweza kumpa maneno kama haya na mengine mazuri ya kuvutia, sifa zipo nyingi mbali na kumsifu mavazi yake hata tabia n.k. Kwa kufanya hivi utamfanya mpenzi wako azidishe mapenzi kwako kwani atahisi kampata mtu anaejali ubora na uhalisia wake kimaumbile na kimatendo. ZINGATIA:- Usitoe sifa ilimradi sifa zisizo na ukweli. 
3. EPUKA KUMUUDHI MPENZI WAKO:
» Sote tunafahamu kuwa hakuna binadamu aliekamilika na hakuna alietolewa nyongo kila mtu anakasirika na anakosea ila solution kubwa ni kudhibiti hasira na kurekebisha makosa na kusuluhisha hususani kwenye mapenzi, katika mapenzi hakuna jambo baya linalopunguza upendo kama ugomvi na kumuudhi mpenzi wako mara kwa mara. Ili kuboresha mapenzi na kulifanya penzi lako liwe imara na lenye kuvutia basi jitahidi kuepuka kumuudhi mpenzi wako na pindi ikitokea umekorofishana na mpenzi wako jaribu kutafuta suluhu mwite kaa nae muombe samahani iwapo kama unakosa na hata ikitokea kosa si lako pengine kakuudhi na bado unamuhitaji usikae na kinyongo wala usiumize nafsi yako kaeni muyamalize muendeleze mahusiano yenu na msiwe watu wa kuzungumzia tofauti zenu kwa watu wa pembeni. Kwa kufanya hivi daima mtakuwa ni mfano mzuri wa kuigwa na mapenzi yenu hayatofika kikomo zaidi yataendelea kushamiri. 
4. MFANYIE YATAKAYO MFURAHISHA:
» Kuna mambo mengi mazuri na yakuvutia katika mapenzi unaweza kuyafanya kwa mpenzi wako yakamfurahisha kwa mfano unaweza kusoma tabia ya mpenzi wako na ukajua ni nini anapenda na kipi hapendi kufanyiwa ukajitahidi kujilinda kumtendea asiyoyapenda na ukaufungua moyo wako kwa kumridhisha kumfanyia kile anachokipenda. Katika mapenzi watu wengi hupenda kutolewa Out, kupewa ofa ya lanch, kupewa zawadi zenye mvuto na zenye hamasa nzuri kwenye mapenzi. Unaweza kufanya vitu vizuri vyenye kuvutia kwa mpenzi wako vikamvutia ikawa ni nafasi nzuri kwako kumfanya azidishe mapenzi. 
5. KUWA MTU WA UTANI KWAKE:
» mpenzi msomaji ninapozingumzia mapenzi na maanisha mazoea yaliyoambatana na upendo, siku zote mapenzi hujijenga moyoni kwa mtu kutokana na ukaribu na mazoea yaliyopo baina ya watu wawili, katika pointi hii ya mwisho nataka nizungumzie utani katika mapenzi unafaida gani. Mpenzi msomaji fahamu yakuwa utani ni moja ya sehemu katika mapenzi na utani unasaidia kuboresha mapenzi ila utani ninaotaka kuuzungumzia hapa ni utani wa kawaida na sio ule wa kuvuka mipaka. Elewa wazi kabisa unapokuwa na mpenzi wako na ukawa ni mtu wa utani inakusaidia wewe kumfanya mpenzi wako akuzoee na awe anajisikia kuwa karibu nawewe muda wote kwani utakuwa unamfurahisha kutokana na utani wako. ZINGATIA:- Usivuke mipaka ya utani, usimtanie kupitiliza, mtanie kutokana na mazingira, usiwe utani unaofanana nakweli, mtanie kwa faida. 
MPENZI MSOMAJI WA KURASA HII UKIZINGATIA HAYA MACHACHE YALIYOANDIKWA NA UKATEKELEZA KAMA ILIVYO AGIZWA SIDHANI KAMA PENZI LAKO KWA UMPENDAE LITATETEREKA NA KUTAWALIWA NA SUMU YA PENZI. Siku zote Penzi litabaki kuwa imara na lenye kuvutia kwako na kwa watu wa

‘NIMEBEBESHWA ‘UNGA’ HADI NIMECHOKA’

Stori: Mayasa Mariwata na Rhoda Josiah
Usilolijua litakusumbua! Msichana aliyejitambulisha kwa jina moja la Mary (23), mkazi wa Dar ambaye ni mwenyeji wa Nyegezi, Mwanza, ameangua kilio na kusema; ‘nabebeshwa madawa ya kulevya (unga), nalipwa kiduchu hadi nimechoka’.

Msichana anayetambulika kwa jina moja la Mary (23) anayedai kuchoshwa na kazi ya kubebeshwa madawa ya kulevya.
Awali, gazeti hili lilitonywa na vyanzo vyake juu ya kuwepo kwa ishu hiyo maeneo ya Manzese, Dar ambapo uchunguzi ulifanyika na kumnasa binti huyo ambaye alifunguka kila kitu.
Akizungumza na wanahabari wetu kwa uoga mkubwa, Mary alidai kwamba alichukuliwa kutoka kijijini kwao huko Nyegezi ambapo alipofikishwa Dar, alijikuta akiunganishwa kwenye mtandao wa kuuza ‘unga’.

“Nililetwa Dar mwaka jana na mwanaume mmoja, aliniahidi kunitafutia kazi, niliishi naye kama mtoto wake.“Zilipita kama wiki mbili tangu aliponileta bila kuniambia nitafanya kazi gani, siku moja ndipo akanipeleka Mitaa ya Magomeni (Dar) na kuniambia nitakuwa nafanya shughuli za kuuza unga huku nikiishi nyumbani kwake na yeye ndiye bosi wangu.
“Nilishangaa sana kuona ile ndiyo kazi niliyoahidiwa kuja kuifanya Dar. Nilianza kumlilia bosi wangu anirudishe kwetu Mwanza lakini alinigomea, hata pale nilipotafuta kisingizio cha kumwambia nimemkumbuka mama yangu, aliniambia nimtumie nauli aje Dar,” alisema binti huyo akilengwalengwa na machozi.
Baadhi ya madawa ya kulevya yaliyowahi kunaswa.
Aliendelea kusimulia kwa majonzi kwamba, siku hadi siku amekuwa akiiona dunia ikimuelemea kwa kuwa amechoka na hayupo radhi kufanya shughuli hiyo, kwani mbali na hatari yake haoni manufaa anayopata.
Alisema, awali alikuwa akilipwa Sh. 3,000 kila siku kwa kupakia kwenye paketi na alipobadilishiwa kitengo na kuanza kuhesabu kete na kubebeshwa amekuwa akilipwa kiduchu, yaani Sh. 50,000 kwa mwezi.
“Hii kazi sitaki hata kuisikia, nimeshafanya kwa mwaka mmoja sasa, sijapata faida yoyote kwani nalipwa kiduchu huku nikiishi kwa hofu muda wote hivyo nimechoka.“Kuna kipindi mama yangu alikuja na kufikia kwake, alimnyanyasa na kumnyima nauli ya kurudi Mwanza. Alikuwa ananiambia kama vipi nikajiuze nipate nauli ya mama yangu.
Kamanda Godfrey Nzowa.
“Sikuwa tayari kufanya hivyo, mama yangu akasaidiwa na jirani akasafirishwa kurudi kijijini Mwanza,” alisema na kuongeza:
“Kuna wakati ananitishia maisha endapo nitatoa siri popote, jambo ambalo limenifanya nikose uhuru na amani ya maisha, ndiyo maana nimeshukuru kukutana na magazeti ya Global Publishers nitue huu mzigo.”

Katika kile kinachozidi kumtia hofu ni pale alipoambiwa siku chache zijazo ataanza kusafirisha unga nchi mbalimbali na kupata utajiri mnono jambo ambalo hataki kulisikia, kwa kuwa anaogopa kuozea jela hivyo kikubwa anachohitaji ni msaada wa nauli ya kurudi kwao Mwanza akamsaidie mama yake ambaye ni mzee na ni mgonjwa.
Kwa yeyote aliyeguswa na habari ya mwanadada huyu na anahitaji kumsaidia nauli ya kumrudisha Mwanza, awasiliane nasi kwa namba 0719595558.

SABBY: RUSHWA YA NGONO BONGO MUVI IMENITESA


Stori: IMELDA MTEMA
Msanii wa filamu, Salma Omary ‘Sabby’ ameamua kufunguka kuwa ameteswa sana na rushwa ya ngono aliyokuwa akikutana nayo pindi alipokuwa akifurukuta kutoka kisanii.
Msanii wa filamu, Salma Omary ‘Sabby’ akipozi.
Akizungumza na Ijumaa Sabby alisema, tatizo hilo la rushwa anaweza kuwa miongoni mwa wasanii waliosumbuliwa sana wakati kuna baadhi walipokuwa wakitolewa nje, walikuwa wanajenga bifu naye na wengine kumtishia kumharibia.
“Mimi kitu ambacho kinaniumiza sana mpaka leo ni jinsi wanawake tunavyodhalilishwa kila siku, naumia mno nimepita katika tabu nyingi mpaka nafikia hapa leo, ila namshukuru Mungu siku zote,” alisema Sabby ambaye ameng’ara kwenye filamu kama vile Siri ya Gining, Hard Price, Moto wa Radi, Dr. Ray na nyinginezo.
credit;gpl

MTANGAZAJI MAARUFU TZ AFARIKI DUNIA KWENYE AJALI AKIWA NA MCHEPUKO



Former Miss Mwanza Number Two Model na Mtangazaji wa tangazo la biashara la Nywele za Rasta za Kampuni ya Darling (Inasemekana ndio rasta maarufu zaidi Tanzania), harusi yake ilikuwa njiani kwenye matayrisho makubwa huku Mchumba wake akihaha huku na kule kutayarisha harusi yao, majuzi akamuaga anakwenda kumuona Dada yake na atalala huko huko, kesho yake yaani jana haya ndiyo yaliyotokea mbebez amefariki kwenye ajali akiwa na bwana mwingine kabisa ambaye naye amefariki so mchumba sasa haelewi na haamini kama ni kweli alichosikia na kukiona kwenye picha hizi hapa chini!!



SPIKA BUNGE LA NIGER ATOROKA KWA KASHFA YA KUUZA WATOTO, ALISHATANGAZA KUWANIA URAIS 2016



Spika wa Bunge la Niger ametoroka nchini humo baada ya kamati ya bunge hilo kuafiki kukamatwa kwake kuhusiana na kashfa ya kuwauza watoto. 
     Hama Amadou, ambaye tayari ameelezea azma yake ya kugombea urais mwaka 2016, anasema kuwa madai hayo dhidi yake yamechochewa kisiasa.
Mke wa pili wa spika huyo na watu wengine 16 walikamatwa mwezi Juni baada ya kutuhumiwa kuwauza watoto wachanga Kusini Mashariki mwa Nigeria. Watoto hao huuzwa kwa maelfu ya dola kila mtoto.

Mwandishi wa BBC nchini Niger anasema kuwa kesi hiyo imetoa fursa tosha kwa chama tawala kumuondoa Bwana Amadou kutoka katika chama hicho tangu kukosana na muungano tawala.

Kashfa hii pia imewashtua wengi katika nchi hiyo yenye idadi kubwa ya waumini wa kiisilamu hasa kwa kuwa ni kosa kuonyesha kuwa watoto walioasiliwa na wako binafsi.

Imeripotiwa kuwa baadhi ya wanawake walidai walikuwa wajawazito na kwenda Nigeria kabla ya kurejea na watoto wao.

Kamati kuu ya bunge la taifa ambalo linamjumuisha naibu spika na wakuu wengine wa kamati nyinginezo, walikutana Jumatao, na kukubaliana kuwa polisi wanaweza kumkamata na kumhoji bwana Amadou kuhusiana na tuhuma hizo.

Wanasiasa sita wa upinzani walikataa kuhudhuria vikao hivyo ingawa idadi ya wabunge waliofika ilitosha kutoa uamuzi.

Kikao kamili cha bunge kitahitajika kufanyika ili kuondoa uwezekano wa bwana Amadou kushitakiwa.

Inadaiwa watoto 30 wameuzwa katika kashfa hii ambayo imehusisha kutengeza stakabadhi bandia na kubadili vyeti vya kuzaliwa vya watoto waliouzwa.

BODABODA IRINGA WAWALIZA CHADEMA WAZIDI KUDHIHIRISHA KWAMBA WAO NI CCM DAMU

madereva bodaboda wa mjini Iringa wakiingia uwanjani
wakionesha shamrashamra katika sherehe hizo

Mwigulu Nchemba akimuongoza Kamanda wa UVCCM Mkoa wa Iringa, Salim Asas kuwapongeza bodaboda hao
Nchemba akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodaboda Mjini Iringa, Mwmbope Joseph
MWENYE macho aaambiwi tazama; hivi ndivyo unavyoweza kuzizungumzia sherehe za kumuapisha Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Salim Abri maafuru kwa jina la Salim Asas.

Wale vijana machachari wa barabarani, ambao hivi karibuni walijinasibu mbele ya kadamnasi kwamba wao ni CCM damu jana katika sherehe hizo wamedhihirisha tena kauli waliyoitoa kwenye kikao chao na uongozi wa SUMATRA kilichofanyika hivikaribuni kwamba wao ni CCM.

Vijana hao si wengine zaidi ya wale wanaojulikana saaaana kwa kupamba misafara ya viongozi wa kisiasa. Ni vijana wanaogombaniwa na vyama vyote vya kisiasa, ni vijana wanaelezwa kuwa mtaji mzuri wa kisiasa pamoja na kwamba hawatabiriki, hao si wengine ni madereva wa vyombo vya usafirishaji vya miguu miwili na mitatu (bodaboda na bajaj).

Jana walikuwepo kwa mamia. Walizunguka mji mzima wa Iringa wakiwa na bodaboda na bajaj zao, wakiwa wamevaa sare ya kijani ambayo ni vazi rasmi la CCM.

Msafara wao mrefu ulivutia wananchi wa mjini hapa, wakajitokeza kwa wingi barabarani kuona msururu wao na jinsi walivyokuwa wakiendesha vyombo vyao kwa mbwembwe.

Wakasaidia kuwavuta watu waliokuwa hawajui au waliojifanya wameziba masikio kwamba hawajasikia Asas, kipenzi cha wakazi wa Iringa, anaapishwa kwa awamu ya tatu kuwa kamanda wa UVCCM.

Wakiwa na Kamanda Mteule, Asas na mgeni rasmi wa sherehe hizo, Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba walishiriki uzinduzi wa matawi mapya ya CCM zaidi ya matano mjini hapa.

Na baadaye wakaongoza msafara wa viongozi hao kuelekea uwanja wa Mwembetogwa ambako sherehe za kumuapisha Asas zilikuwa zikifanyika.

Pamoja na Bodaboda palikuwa na burudani nyingine tosha, iliyopamba sherehe hiyo ambayo Asas mwenyewe aliita ni sherehe ya aina yake ambayo haijawahi kutokea katika historia yake ya kisiasa.

Ilikuwepo bendi ya muziki wa dansi ya Vijana Jazz na wasanii wengine akiwemo Dokii na kundi lake, Makomandoo, Baba Level, Wanne Star na wasanii kibao wa mjini Iringa.

Mbali na wasanii hao kuwa gumzo kwa burudani waliyotoa katika sherehe hizo, bodaboda walinogesha zaidi gumzo hilo.

“Wametukimbia, wametukimbia kwasababu ya ubishi wa ndugu yetu Msigwa, Mchungaji Peter Msigwa anataka kutupa kazi ngumu ya kusaka kura 2015,” alisema mmoja wa vijana wa kijiwe cha stendi kuu.

Kijana huyu hajasikika, akapaza sauti yake, ili Mchungaji Msigwa aisikie akisema……TUMEKWISHA.

Bodaboda wana matatizo makubwa pamoja na kwamba ni mtaji mkubwa wa kisiasa. CCM inawasaidia, iko jirani nao kwa raha na shida lakini sisi tunasubiri tuwaite kwenye mikutano, tena kwa kuwapa elfu tano tano. Wapi na wapi? ASIYESIKIKA huyo alisema.

ASIYESIKIKA mwingine akasema walileta matatizo yao kwetu Chadema na CCM. Wenzetu CCM wakawa wajanja, wamewatekelezea japo siyo yote lakini inawapa matumaini kwamba wamesikilizwa.

Ndio wenzetu CCM nasikia waliwapa mafunzo ya udereva ili wajue sheria za barabarani. Zaidi ya madereva 800 wamefundishwa bila kuchangia hata senti tano, wakatafutiwa ofisi, wakaanzisha chama chao, wakapema mtaji wa zaidi ya Sh Milioni tano kwa ajili ya kuanzisha Saccos yao na wakapewa pikipiki nne kwa ajili ya kukopeshana kwa mzunguko.

Sisi tumebaki na maneno, kila kukicha ni kulalama tuuu Peoples Power…. People Power… halafu tuko mbali na maendeleo ya watu, nani atatuthamini? Tuoneshe basi kwamba tunajali matatizo ya watu, tujitokeze kuwasaidia sio tu kwa kusubiri fedha za serikali na kwa kutumia fedha zetu maana hakuna serikali inayoweza kutatua matatizo ya watu wake wote, hiyo ni ndoto hata kwa mataifa tajiri.

ASIYESIKIKA mwingine akasema wanachofanyiwa na CCM kinaongeza gharama; hatutawapata kirahisi tena katika misafara ya viongozi wetu……watata ujira uongezeke, nani atatoa…… hilo linabaki swalia kwa wengi wetu
na fredy mgunda

28 Ago 2014

RAIS KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA MKOANI KAGERA



  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi alipowasili eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi wakati wa sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi baada ya kuwasili eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi kuhudhuria  sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi baada ya kuwasili eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi kuhudhuria  sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014. Wengine ni Waziri wa Ardhi na Maendeleo na Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na Balozi wa Burundi nchini Tanzania Mhe Issa Ntambuka


 Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi akisalimiana na Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania Profesa Sospeter Muhongo  eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi kuhudhuria  sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.

 Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi akisalimiana na baadhi ya Watanzania walikuwepo  eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi kuhudhuria  sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014. 


Sehemu ya umati wa wananchi wa Tanzania na Burundi kwenye sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014

MAINDA WA BONGO MOVIE AZICHAPA NGUMI KANISANI


MADAI mazito! Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kugombana na muumini  mwenzake kwenye kanisa analoabudu kwa sasa, Amani  limedokezwa.
Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’.
TUJIUNGE NA MTOA HABARI
Kwa mujibu wa chanzo makini, tukio hilo la aina yake lilijiri kwenye kanisa hilo la kiroho lililopo chini ya mchungaji wake aliyetajwa kwa jina moja la Mwamposa, Sinza-Lion jijini Dar, Jumapili iliyopita. 
Mtu mmoja aliyedai anaabudu kwenye kanisa hilo linalokuja juu kwa sasa,  akizungumza Jumapili usiku kwa simu ya chumba cha habari cha Global Publishers, alisema Mainda alitofautiana na mwenzake (jina halikupatikana mara moja) wakati wakifanya usafi kama sehemu ya huduma yao kanisani hapo. “Jamani niwape habari, leo hapa kwenye kanisa la Mchungaji Mwamposa, Sinza-Lion, Mainda amegombana na muumini mwenzake kisa kikiwa ni kiti tu.
“Mainda alikuwa akisafisha viti ili aviingize kwa mchungaji huyo, mwenzake akaja na kukalia. Akaja juu, yule naye akaja juu! Acha wagombane,” alisema mtu huyo.
AMANI MZIGONI
Baada ya kudakishwa madai hayo, Amani liliingia mzigoni ili kupata undani ambapo mambo yalikuwa hivi; JUMATATU, SAA 4:00 ASUBUHI Kwa kuwa tukio lilidaiwa kujiri Jumapili, Jumatatu saa 4:00 asubuhi, mwanahabari wetu alifika kanisani hapo na kufanya ‘ushushushu’ kabla ya kujitambulisha kuwa anatoka Global Publishers. 
Ruth Suka ‘Mainda’ akipozi.
MUUMINI  
Akielezea tukio hilo kwa undani zaidi, mmoja wa waumini ambaye hakutaka kutaja jina lake alidai tukio hilo lilitokea jana yake (Jumapili) wakati watumishi hao wakifanya usafi wa kawaida. Alidai kuwa, Mainda alikuwa akifuta vumbi kwenye viti ili aviingize kwa mchungaji, mara mwenzake akaja na kukalia kimojawapo na ndipo wakaanza kurushiana maneno.
“Wao ndiyo watenda kazi humu ndani, sasa unakuta labda mtu anamuagiza mwenzake amletee kitu fulani lakini anakataa. “Ninavyojua mimi ni kwamba, Mainda alikuwa akifuta viti na kuvipeleka ndani kwa mchungaji, mara mwenzake akaja na kukaa pale, wakaanza kuzozana: Lete kiti...wee unaona mimi nafuta ili viingie kwa mchungaji, wewe unakuja kukalia,” alisema mtumishi huyo akichukuliwa (kurekodiwa) sauti kwa sharti la kutotajwa popote.
MUUMINI MWINGINE
Muumini mwigine aliyekuwa eneo hilo naye alidakia huku akirekodiwa: “Ni kweli waligombana lakini baadaye waliwekwa chini na kumaliza tofauti zao na wote wanaendelea kutoa huduma kama kawaida. Watu wa Mungu hawawekeani visasi hata siku moja.”
MZEE MUUMINI 
Baada ya kupata maelezo hayo, gazeti hili lilimfuata mzee mmoja aliyekuwa kanisani hapo muda huo ambaye hakutaka kutaja jina lake ambapo alikiri kuwepo kwa ugomvi wa Mainda na mwenzake huku akisisitiza kisa kilianza kwenye kiti. Alisema baadaye walisuluhishwa na wakapatana mambo mengine yakaendelea kwa amani. “Jamani hata hili jambo dogo limewafikia hadi ninyi? Hii sasa ni hatari! Waligombana kweli lakini waliwekwa sawa wakapatana.Kisa ni kiti tu, Mainda kakifuta ili akiingize kwa mchungaji mwenzake akaja kukikalia, hilo ndiyo tatizo,” alisema mzee huyo bila kutaja nafasi yake ya huduma katika kanisa hilo. Akaendelea: ”Kukwaruzana ni jambo la kawaida katika sehemu yenye mkusanyiko wa watu kama hapa, hasa kwa wasichana kama hawa.”  Mwanahabari wetu alipotaka kuzungumza na Mchungaji Mwamposa kama anajua lolote juu ya sakata hilo, aliambiwa kiongozi huyo yupo safirini kwa huduma ya kiroho.
MAINDA HEWANI
Baada ya kutoka kwenye kanisa hilo, mwandishi wetu alimtwangia simu Mainda ambapo alipopatikana alisema: “Siyo kweli. Mimi sijui chochote. Kama unataka uje kanisani uongee na wachungaji.” Baada ya kukata simu na kupita dakika kadhaa, Mainda alipiga simu kwa mwanahabari wetu na kutaka kumjua ni nani aliyezifikisha habari hizo Global Publishers. Alijibiwa si maadili ya kazi kutaja chanzo cha habari.  JUMATATU SAA 10:00 JIONI Siku hiyohiyo, mishale ya saa 10:00 jioni, gazeti hili lilirudi tena kanisani hapo ili kuzungumza na wachungaji kama alivyotaka Mainda ambapo lilibahatika kukutana na muumini aliyesema yeye ni mzee wa kanisa lakini akagoma kutaja jina lake.
Mzee huyo alisema hajui lolote na kwamba kama ni kugombana kwa watu kupo lakini kuhusu Mainda hakutaka kuzungumzia lolote. Kwa bahati nzuri, muda huo Mchungaji Mwamposa ambaye ndiyo alikuwa amerejea kutoka safarini alikuwepo, Hata hivyo, alikataa kuzungumza chochote kwa kuwa hakuwepo. “Mimi sikuwepo hivyo siwezi kuongea chochote maana sijaambiwa chochote,” alisema Mwamposa.
MUUMINI AHOFIA 
Wakati mwandishi wetu anatoka nje ya kanisa hilo, alimuuma sikio muumini mmoja akimtaka amtajie jina la muumini aliyegombana na Mainda, lakini akasema: “Wewe ni mwandishi wa habari! Akha! Kama unataka huduma ya kiroho nitakusaidia lakini si hayo mengine, naogopa mwaya.” 
KAMA ZALI, MAINDA HUYU!
Baada ya kumsikia muumini huyo, mzee wa kanisa na baba mchungaji, kama zali ghafla Mainda alitokea ambapo kwa upande wake, alikanusha tena madai hayo na kusema  kuwa haelewi chochote kuhusiana na ugomvi huo. “Nashangaa kusikia hivyo na sijui chochote kuhusu hilo, kawaulize vizuri haohao waliokwambia,” aliwaka Mainda.
MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE...
Pamoja na yote lakini Mainda anakuwa msanii nyota Tanzania ambaye amedumu katika mazingira ya kumtumikia Mungu tangu akate shauri la kuokoka takribani miaka miwili iliyopita. Amekuwa mstari wa mbele kuusimamia wokovu wake kwa dhati, akihudumu kanisani hapo kwa kufanya usafi asubuhi na jioni bila kukosa ibada.

TAZAMA PICHAZ NYINGINE KTK KWA K LYINN NI MREMBO WA KUZALIWA TAZAMA HAPA








Zitto Kabwe Kwa Mara ya Kwanza Aongelea Uhusiano Wake na Diva Loveness,

http://www.gushit.com/files/bookmark_photos/2657af9019L.jpg
KWA mara ya kwanza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kuzungumzia uhusiano wake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ na kufuta uvumi mzito uliokuwa ukizagaa kuwa wawili hao ni wapenzi.

Zitto alifunguka hayo juzi kupitia kipindi cha Mkasi kinachorushwa na Televesheni ya East Africa ambapo alikanusha kuwa hana uhusiano wowote wa mapenzi licha ya kudaiwa kutungiwa wimbo na mtangazaji huyo kama ishara ya penzi lao.“Mh! Kama yeye amenitungia wimbo sijui lakini mimi sina uhusiano naye wowote wa kimapenzi,” alisema Zitto.

Katika mahojiano hayo, mheshimiwa huyo alifungukia skendo nyingine inayomhusisha kutembea na staa wa Bongo Fleva, Mwasiti Almasi na kudai hakuna ukweli wowote juu ya ishu hiyo.

Alisema anaumia zaidi kusikia watu wanavyomhusisha kutembea na Mwasiti kupitia mitandao ya kijamii wakati hakuna ukweli wowote ambapo msanii huyo wanaheshimiana na kufanya naye kazi kwa karibu ili kumsaidia katika harakati zake za muziki.

“Naumia sana kusikia wakinisema na Mwasiti wakati yule ni dada yangu na mbaya zaidi ni mtu ambaye mara kwa mara nimekuwa nikimsaidia katika shughuli zake za muziki, hakuna kitu kingine zaidi ya ukaka na udada,” alisema Zitto.

Aidha, mheshimiwa huyo mbali na kungumzia mikakati yake ya kisiasa katika kipindi hicho, aliweka bayana kuwa ni baba wa mtoto mmoja kwa mkewe aliyemtaja kwa jina moja la Jack, wanamlea mtoto wao vizuri lakini suala la ndoa bado hali

kutana na aina 7 Maarufu za Libwata na jinsi zinavyotengenezwa na kazi yake

 https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcS8uDAZUw6LDOJ23ep0vbQ2xo43Rk7tsWACGKmT9dNNDI8uDc1cKw

Jamani mmeshinda poa!

Wanawake / Mabinti baadhi wamekuwa watumiaji wazuri wa limbwata kama sehemu ya kuongeza chachu ktk mahusiano yao ya mapenzi. Zifuatazo ni baadhi ya teknolojia maarufu ama niseme pendwa za limbwata. Waweza kuongeza yoyote ile uijuayo:

Kinyama

Hii kitu kuna siku Mkuu MziziMkavu aliielezea vizuri tu. Katika hili, kipande kidogo cha nyama mfano wa mnofu mmoja wa “mshikaki” huwekwa katika maku ya mtaka tiba, kwa muda wa siku kadhaa kulingana na masharti ama maelekezo ya mganga husika “fundi”, baadae kinyama hiki hupikwa na sehemu nyingine ya kitoweo kama mboga na kuliwa. Mlengwa wa limbwata ataathirika mara tu baada ya kula mlo uliohusiha mboga yenye kinyama hiki! Wanaoipenda njia hii wanasema ni ngumu sana kumuagua mwanaume alielishwa kinyama

Maji ya mchele:

Hii ni aina nyingine ya teknolojia ya limbwata. Ni kwamba kwa kutumia njia hii, maji ya kawaida hupelekwa kwa mganga kwa ajili ya kazi husika, na kisha maji hayo hurudishwa nyumbani, mwanamke mhusika huyatumia maji ya dawa haya kuoshea maku na baadae huyatumia kuoshea mchele ama hata kupikia kabisa! Limbwata hili hufanya kazi kwa mlengwa baada ya mlengwa kula chakula kilichopikwa kwa maji tajwa! Wanaoipenda njia hii wanasema ni ngumu sana kumuagua mwanaume alienyeshwa maji hayo, na kwamba ili kumuagua lazima apatikane fundi Yule Yule aliefanya yake!

Kisomo:

Nyingine. Hii haisemwi sana, ni kama siri kubwa, huwa haijulikani hasa ni aina gani ya “kisomo” hufanyika lakini wateja na wafuasi wa limbwata la aina hii wanakiri kuwa, mwanaume aliesomewa (msomaji ni fundi “mganga”) huwa ni zaidi ya kondoo, kwa maana ya kuwa maisha yake yote yaliyobaki yanakuwa ni yale ya “ndio mzee” kwa mwanamke alietengeneza! Wanaoipenda njia hii wanasema sio nzuri sana kwa vile fundi mwingine yoyote anaweza akafanya kisomo kinyume.

Kifaranga:

Hapa mwanamke mhitaji huagizwa na fundi kupeleka kifaranga, na mara nyingi ni cha kuku. Fundi humfanyia kazi Kifaranga huyu katika karakana yake, namna fundi anavodili na kifaranga hiki ndio ndio kazi halisi ya kumuinamisha mme ama mpenzi wa mtu, kifaranga huyu hubaki ktk himaya ya fundi kwa maisha yake yote, na namna kifaranga huyu anavolelewa na huyu fundi, na kufuata anavotaka mfugaji, ndio hivo hivo mlengwa atakavopelekwapelekwa! Njia hii inachangamoto moja kubwa, usalama na uhai wa kifaranga huwa ni tatizo, na iko subjected to frequent updates!

Jina kuning’nizwa juu ya mti:

Hii inafanana na kisomo. Tofauti ni kwamba, baada ya fundi kufanya kazi yake, huku jina la mlengwa likiwa limenuiwa, karatasi lililoandikwa jina hili (jina la mwanaume mlengwa) huenda kuning’inizwa katika moja ya mti mrefu ambao ni sharti uwe mbali na wanapoishi wapenzi ama wanandoa hao, wakati mwingine inahusisha mkoa mmoja hadi mwingine! Wanasema kusipokuwepo na upepo, mwanaume huwa mjanja mjanja, lkn upepo ukivuma kidogo tu, mwanaume huyu akili huruka na kumuwaza aliemtengeneza! Ili upone kutoka katika limbwata hili, lazima huu mti utafutwe na kikaratasi kikatwe, ndio utapona!

Kaburi la mtoto

Hapa kuna vitu hufukiwa. Kama ilivo limbwata la hapo juu, limbwata hili linahusisha madawa na majina ya mlengwa. Kaburi husika hutafutwa maeneo ya mbali sana. Madawa na majina ya mlengwa hufukiwa katika kaburi la mtoto. Hapa huponi mpaka kaburi lipatikane na kazi ifanyike hap!

Unyayo kucha ama kinywele:
Hapa kuna mchanganyiko wa ufundi unaotumika. Wapo wanaotumia mchanga wa unyayo, wapo wanaotumia kipande cha v.u.z.i, wengine hutumia hata c.h.u.p.i ya mlengwa, lakini yote kwa yote ni kwamba fundi atadili na mlengwa kutumia aina mojawapo ya nyenzo hizi! Mafundi wengi inasemekana ni wataalamu wa kuagua wahanga wa njia hii!

Kazi kwenu wapenda michepuko!

Baba yake Beyonce afichua siri ya tetesi za talaka kati ya Jay Z na Beyonce, Bey aripotiwa kuwa mjamzito tena

Baba yake Beyonce afichua siri ya tetesi za talaka kati ya Jay Z na Beyonce, Bey aripotiwa kuwa mjamzito tena
Baba yake Beyonce Knowles, Mzee Mattew Knowles afichua siri ya kuwepo ripoti kuwa mwanae anataka kuachana na Jay Z huku akigusia pia kuhusu kilichosababisha ugonvi kati ya Solange na Jay ndani ya lift.
Katika mahojiano aliyofanya na Roula &Ryan Show wiki hii, Mzee Mattew alieleza kuwa anachofahamu ni kwamba tetesi hizo za talaka ilikuwa mbinu ya kuuzia tiketi zaidi za tour yao.
Ameeita mbinu hiyo kuwa ‘Jedi Mind trick’ ambayo maana yake ni nguvu ya kucheza na akili ya watu kwa kutengeneza utata fulani ili kuwafanya wafikirie unachotaka kwa maslahi yako (kucheza na fikra zao).
“I know, because we’ve done this. From experience, there’s a tour going on,So you sometimes have to ignite that tour. It’s called a Jedi mind trick. The Jedi mind trick fools you a lot.” Amesema.

Alipoulizwa kuhusu ugomvi kati ya Jay Z na Solange, mzee huyo aliendelea kushikilia msimamo wake kuwa ile yote inaweza kuwa trick ambayo imewasaidia pia katika tour hiyo hiyo na imesaidia kuuza albam ya solange kwa asilimia kubwa.
“All I know is the Jedi mind trick. Everyone’s talking about it. Ticket sales went up. Solange’s album sales went up 200%!”
Katika hatua nyingine, jarida la OK limeripoti kuwa Beyonce ni mjamzito tena hivyo wawili hao wanatarajia kuwa na mtoto wa pili.
Kwa mujibu wa chanzo chao, tangu mwezi mmoja uliopita Beyonce amekuwa akichagua vyakula kama alivyokuwa anafanya wakati anaujauzito wa Blue Ivy na kwamba Jay Z amekuwa akihakikisha kwamba hapati stress yoyote.

UMEZIONA PICHA MPYA ZA MSANII WA BONGO FLEVA SHILOLE ALIZOTUPIA INSTAGRAM tazama zote hapa






Kweli Nuhu Mziwanda anafaidi...Hizo ni Picha Mpya za Mrembo wa Bongo Movies na Bongo flava Shilole...Cute or Not?