MR LIMO MNEC WA CCM KINONDONI AKIHUTUBIA JANA DSM KTK VIWANJA VYA MANZESE |
MEYA WA MANISPAA YA KINONDONI MH YUSUPH MWENDA AKITOA TAKWIMU ZA MAENDELEO KWA WANANCHI JANA MANZESE |
MEYA WA MANISPAA YA ILALA NA MJUMBE WA KAMATI KUU WA CCM,,JERRY SILAA AKIONDOKA VIWANJA VYA MANZESE JANA KTK YA UMATI MKUBWA |
JERRY SILAA AKIFANYA YAKE JUKWAANI MBELE YA UMMA |
HUYU NDIE KIJANA WA CCM JERRY SILAA |
UMMA UKISIKILIZ AKWA MAKINI |
TULIAHIDI TUMETEKELEZA |
CHIPUKIZI WA CCM,COM MPOKWA KAIMU KATIBU MSAIDIZI MKUU UVCCM TAIFA,MNEC ANTHONY MAVUNDE NA MKT WA UVCCM MKOA WA PWANI MUHAMED NYUNDO WAKIELEKEA KUANZ AKAZI WILAYA YA TEMEKE JANA |
MNEC MUHAMED NYUNDO NA ANTHONY MAVUNDE WAKISHIRIKI UZINDUZI WA SHINA LA UVCCM JANA |
MAKAM MKT UVCCM TAIFA BI MBONI MHITAAKIWA NA MKT WA UVCCM WILAYA YA ILALA SAMBAMBA NA BI ZAINABU KATIMBA KATIBU WA IDARA YA OGANAIZESHENI NA SIASA UVCCM MAKAO MAKUU |
UMMA UKIISIKILIZA CCM |
COM MWIGULU NCHEMBA AKIWA NA MJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA BI SEK KASUGA JMOS IRINGA KATIKA MKUTANO WA KUMSIMIKA KAMANDA WA UVCCM MKOA HUO |
MJUMBE WA BARAZA KUU LA UVCCM MH. SEKI KASUGA AKIWAJIBIKA IRINGA |
MAKAM MBONI MHITA AKIJIANDAA KUANZA KAZI MCHAKAMCHAKA |
MKT WA UVCCM MKOA WAKILIMANJARO CO MUSHI,,AKITOKA JUKWAAANI BAADA YA KUMALIZA YAKE NA KUMUACHA COM DK NGWARU AKILITIBU JUKWAA JANA WILAYA YA ROMBO KULIKOMBOA JIMBO |
COM NGWARU AKIFURAHI JAMBO BAADA YA KUSAKISIWA MCHANGO WA SH MILIONI MOJA KWA WANANCHI WA ROMBO JANA |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni