Na waandishi wetu
Basi la Hood lililokuwa likitoka Arusha kwenda Iringa llimepata ajali
asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha. Basi hilo lilitaka kugongana
uso kwa uso na lori la mizigo, ndipo katika kukwepana ikatokea ajali
hiyo. Abiria wa basi wamenusurika , ila lori lilidumbukia darajani na
hakukuwa na mtu aliyepoteza maisha
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni