Jumla ya Mara Iliyotazamwa

4 Jul 2015

WANAWAKE NA NGUZO YA BEIJING 2015 TUPO TAYARI



kuelekea uchaguzi mkuu tanzania wanawake wengi wamehamasika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi bila kujali shughuli wazifanyazo na uzoefu katika vyama mbalimbali vya siasa. rai kwa watanzania na wananchi wote wenye umri wa kupiga kura wachague viongozi wenye uwezo na wanaoweza kuwajibika kwaajili ya wanannchi. sababu sote tunatambua uongozi ni utumwa ,kazi amabayo hazifanani na kazi zingine kwa maana hii basi wagombea wawe wameiva nakuelewa nini utakuwa wajibu wao mara baada yakupata majukumu hayo wasichukulie  uongozi ni kama fursa nyingne na kupata hamasa ya kugombea gombea tu. tujipime na tujisahihishe je tunaweza kuvaa viatu kama vya mama SOPHIA SIMBA ?  ANNNA ABDALAH, tuvuke na ng'ambo kabisa vipi kama nancy pelos, hilaly clinton na wengne wengi . bado mwanamke anayo nafasi ya kuonesha uwezo wake na sio kuatafuta fursa.......................................... ITAENDELA 

manchester city kuwasha moto sokoni pogba na kevin debruyen hudama yao yaitajika


Image result for fabian delphImage result for pogbaImage result for kevin de bruyne            Na Ibrahim kasuga

Man city baada ya kuwashiwa taa ya kijani na UEFA baada ya adhabu yao ya financea fair play kuisha wamewatajaa wachezaji wao wanao wahitaji kwa udi na uvumba kevin de bruyne, raheem sterling na paul pogba hayoo ni majina yanayo husishwa huenda yakaonekana pale Etihad stadium msimu ujao. wakit huohuo kiungo wa timu ya taifa ya uingereza na klabu ya astoni villa Fabian Delph huenda akawa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na man city katika dilisha hili la usajili.