WANAWAKE NA NGUZO YA BEIJING 2015 TUPO TAYARI
kuelekea uchaguzi mkuu tanzania wanawake wengi wamehamasika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi bila kujali shughuli wazifanyazo na uzoefu katika vyama mbalimbali vya siasa. rai kwa watanzania na wananchi wote wenye umri wa kupiga kura wachague viongozi wenye uwezo na wanaoweza kuwajibika kwaajili ya wanannchi. sababu sote tunatambua uongozi ni utumwa ,kazi amabayo hazifanani na kazi zingine kwa maana hii basi wagombea wawe wameiva nakuelewa nini utakuwa wajibu wao mara baada yakupata majukumu hayo wasichukulie uongozi ni kama fursa nyingne na kupata hamasa ya kugombea gombea tu. tujipime na tujisahihishe je tunaweza kuvaa viatu kama vya mama SOPHIA SIMBA ? ANNNA ABDALAH, tuvuke na ng'ambo kabisa vipi kama nancy pelos, hilaly clinton na wengne wengi . bado mwanamke anayo nafasi ya kuonesha uwezo wake na sio kuatafuta fursa.......................................... ITAENDELA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni