Jumla ya Mara Iliyotazamwa

26 Ago 2014

Muziki unalipa: Davido anunua private Jet yake

Mwimbaji wa ‘Ayee’ Davido wa Nigeria amethibitisha kuwa mbali na kuwa mtoto wa bilionea lakini muziki unamlipa kwa kiasi cha kumuwezesha kumiliki private Jet yake.
davido jet3
Kama wewe unamfollow Davido kwenye Instagram yake bila shaka utakuwa shahidi kuwa ‘Skelewu’ hit maker anapiga show nyingi sana sababu post zake nyingi huwa ni kuhusu safari za show.
davido jet
Weekend iliyopita alipost picha akiwa kwenye private Jet hiyo kabla ya safari ya kuelekea Togo kwenye show nyingine.
Davido Jet4

Maoni 1 :

  1. Acheni kupotosha, amenunua au amekodi? Fanya utafiti kwanza!

    JibuFuta