Sauda Mwilima akivishwa pete na mume wake, Kauli Juma.
Sauda anasema:
“Ndoa yangu haijavunjika, tuko vizuri na mume wangu japokuwa tuko mbali lakini kila mmoja anamwamini mwenzake,” alisema Sauda.
Wadau wanaifananisha ndoa hiyo na ya Aunt Ezekiel na kudai kuwa wawili hao hawachekani.
Wadau wanaifananisha ndoa hiyo na ya Aunt Ezekiel na kudai kuwa wawili hao hawachekani.
Oooh nooo! Miaka
miwili baada ya kufunga pingu za maisha (ndoa) na mwanaume aitwaye
Kauli Juma, imefichuka kwamba ndoa ya prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima
ina shida kwani haishi na mumewe, ikidaiwa kwamba kila mmoja anaishi
nchi tofauti na mwenzake.
Chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa
Sauda, kilisema kwamba baada ya wawili hao kufunga ndoa, Kauli
aliondoka kwenda nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ alikokuwa akifanya
shughuli zake kabla ya kufunga ndoa na hadileo hajawahi kurudi
Tanzania!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni