Muda mrefu kidogo kabla Jay-z na Beyonce hawajaanza mahusiano , Jay-z
alionekana kama player flani hivi lakini ukweli ni kwamba jamaa alikua
na anatoka na hawa watu wa5.
1 . Blu Cantrell
Blue Cantrell ni msanii wa RnB maarufu kwa nyimbo yake ya Breath ambayo yeye na Jay-z walikua pamoja na in love.
2. Aaliyah
Kuna kipindi Jay-z na Aaliyah walikua wakitoka wote kitendo kilichochochea uhasama kati ya jigga na dame dash .
3. Rosario Dawson
actress huyu alikua miongoni mwa wadada wa kwanza kutoka na Jay -z
,walidumu na Jay-z kwa miaka mitatu na walipanga kupata mtoto wote mpaka
ilipo tokea bahati mbaya nimba yake ikaharibika.
4. Karrine Steffans aka Superhead.
video vixen huyu ambaye pia ni girlfriend wa lil wayne aliongelea kuhusu relationship yake na Jigga kwenye kitabu chake.
5. Shenelle Scott
model huyu alidai kua Mr Cater ni baba wa mtoto wake. Jay Z alikuja
kukataa huku ukweli ukiwa kwamba wote washawahi kutoka kipindi flani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni