Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa kwanza wa Diaspora katika
hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Agosti 14, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua tovuti rasmi ya
Diaspora wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa Diaspora katika
hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Agosti 14, 2014.
Pamoja
naye ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Taasisi ya
Diaspora Bw. Emmanuel Mwachullah (wa pili kulia), Mwana-Diaspora Dennis
Londa (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora Bi. Rose Jairo
PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni