Mzoga
wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada ya
kukutwa ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa
mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa
angalia taswira za mzoga huo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni