NAIBU KATIBU MKUU UVCCM ZANZIBAR MH. SHAKA HAMDU AFANYA MKUTANO CHAKE CHAKE
Mkutano wa hadhara wa vijana wa mikoa miwili ya pemba umemalizika jioni
hii ambao ulihubiwa na Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar katika viwanja
vya Gombani ya kale Chake Chake Pemba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni