Kutokubali
majukumu , mwanaume umeamua kuwa na mpenzi kuwa responsible na take
care of your famili kama ukibahatika kupata mtoto. kwa wadada ukiona
mwanaume hayupo responsible ukiwa nae jua hadi kitandani ni mvivu wa
kutupa ndio wa kwanza kulalama mmh ujui kukata kiuno.
Kukiss
ujui akilalamika hivyo kaa kimya uone kama anaweza kazi..... utasikia
wanawake wanachuna tutaachaje kuchuna wakati kutoa kwa hiyari amtaki
mjifunze.
Kujinunisha hovyo hovyo hivi mwanaume unasusa ili iweje ... he he susa wenzio wala.
Kuwa mchoyo.. unakuta mwanaume ni mchoyo kiasi kwamba hata kuhudumiana ni tatizo...
mwanume pesa yako vitu vyako ni tatizo sasa maana ya mimi kuwa mpenzio au mwili mmoja ni ipi kama unaniwekea demacation kwenye vitu vyako... yani hawa hadi kutoa mawazo ni kazi anaona utafaidi...
Mwanume mbahili yani hadi anaumwa au unaumwa kutoa hela ya kutosheleza matibabu hato ... yani sasa huyu wimbo wake wa kila siku utasikia sina hela.. hivi kutokuwa na hela ni sifa au ni uvivu basi tuone unafanya jambo la maana upuuzi mtupu
Mwanume kuendekeza pombe na marafiki yani unatoa kipao mbele rafiki zako kuliko mpenzio ukiona hivyo ujue huna future nzuri.... baadhi ya maandiko yanasema "ajifanyie rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe though rafiki anweza kuwa kama ndugu" tafakari.
Wivu uliopitiliza hapa wengi ni 25 na 30 sana hawa ndio tatizo utasikia baby tuma picha ... tuma picha unatuma bado tena tuma picha ... hivi niwaulize mnatengenezea movie hizo picha ni nini tatizo?...

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni