jengo la kihistoria la UVCCM limeanza kubomolewa kupisha
ujenzi mwingine wa jengo la vijana . HONGERENI SANA VIONGOZI WAKUU WA UVCCM KWA JUHUDI NA HATIMAE YAMEANZA KUTIMIA. ni akili
ya kawaida sana kama mzee Sabodo aliwauliza wale watani zetu
niwasaidie nini,,,,kumwambia tu "mzee tunakiwanja bunju tujengee ata
jengo la makao makuu ya BAVICHA,,," ni akili tu ya kawaida sana
,,,,LAKINI DUU WATU WANAPENDA CASH,,,WASHAIMALIZA,,,babu na wenzake HAYA YANATAKA KUFIKIRI TWENDENI PAMOJA UVCCM UMOJA NI USHINDI |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni