Jumla ya Mara Iliyotazamwa

8 Sep 2014

MAZIWA KUVIMBA NA KUUMA WAKATI WA UJAUZITO (Breast Tenderness &Pain)



Tatizo la kuvimba kwa maziwa na kuuma wakati wa ujauzito asa wa wiki 4 mpaka 6 linatokana na kuongezeka kwa hormone za progesterone na estrogen mwilini ambazo huongeza kasi ya mzunguko wa damu kwenye misuli lain ya maziwa.

MAMBO YA KUZINGATIA
Kitu cha kwanza kabisa ni kuzingatia kuvaa bra laini na inayokutosha. Mara nyingi wanawake wanaendelea kuvaa bra za zamani wakati maziwa yameongezeka. Hivyo wanakosa support ya kutosha. Uvaaji wa bra yenye support ya kutosha wakati wa mchana hata usiku utasaidia kupunguza maumivu na kukufanya uwe huru zaidi.  Pia usivae bra zenye chuma ndani(underwire, ukilala hakiksha unayapa support ya kutosha kwa kulala vizuri. 
Pia unaweza kuweka maji ya baridi, maji ya moto kiasi au weka barafu kwenye kitambaa halafu weka kwenye maziwa yaliyovimba ili kupunguza maumivu na uvimbe.

Usinywe kahawa au vinywaji vyenye cola vitazidisha uvimbe na kuuma. Jaribu kunywa chai maana majani mengi ya chai yana virutubisho vya potassium hii husaidia kupungza uvimbe na punguza chumvi kwenye vyakula.

BREAKING NEWZZ: BASI LA DAR EXPRESS LAGONGANA NA BASI LA SIMBA MTOTO MUHEZA MKOANI TANGA:TAZAMA PICHA HAPA===>



Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa yamepigana pasi  maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu.
Haijafahamika mara moja madhara ya ajali hii wala chanzo chake kwa kuwa ripota wetu hakubahatika kumpata msemaji wa polisi.  Hata hivyo Globu ya Jamii inaendelea na juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa taarifa zaidi. Tuendelee kuvuta subira.

NYANGUMI AIBUKA PWANI YA MTWARA, TAZAMA PICHA HIZI HAPA


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEin3nh4KKvRN4SKzmFsO5K9sW8I8joePbfcs42ASZ17Xk8VpfKMclhxO2qmZNqeYELNzfnq_31dQP8keY29J73zeuZBzy5xPp-PX-DDncrAebXKJBpqL9o3lI5v3D432E940RVhl6LLOjIl/s1600/861d1cf6d73e46742201ed3cb36d6ce8+(1).jpghttps://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhIs4vJz5yXQR3WHYd0Ms6qYJQVsedGjnva6VjkxmIeTIfpdAZfVxGm_mnxlAYRuGS-Twqv_jDOQSERJi271AqBbtlQcjjJeZqDW11WefqDBF6mHCdxQ6shxgl07aimxxtqT6-uI5BpYaWV/s1600/f6725c0e2bb75dead8ad32ae0caa1905+(1).jpg 

Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada ya kukutwa ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa angalia taswira za mzoga huohttps://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh93nGx1ASXnJuDXx-5rNOSXaTZRsfsq37HvRUu1YxI9lLnLGdtkpyinATK3xsyIpYRLL40jO5Qk5e1DVrqgsX9CrzDzUxPjGREHGK9bKiSOK7Kjw9NROKPvGN1M7-ao1wc3489EE7Ltm4o/s1600/39036934eea4ff666af2a65b333b9e7b.jpg

5 Sep 2014

NAIBU KATIBU MKUU UVCCM ZANZIBAR MH. SHAKA HAMDU AFANYA MKUTANO CHAKE CHAKE

Mkutano wa hadhara wa vijana wa mikoa miwili ya pemba umemalizika jioni hii ambao ulihubiwa na Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar katika viwanja vya Gombani ya kale Chake Chake Pemba.







Commander-in-Chief Uhuru Kenyatta Acts The Part… Wears Army Uniform (PHOTOS)

The president is making a name for himself for being one of the most easy going Head of State.
Every now and then he is seen doing something that is not typical of a president. From dancing with kids, having lunch at a simple hotel..you get the point..he is just an easy going guy.
On Friday morning he was dressed in full military gear as he went to the Validation of Kenya’s pledged forces at Archers Post in Samburu and he was looking sharp. President Moi and Mzee Kenyatta only wore ceremonial uniforms. Kibaki was never seen in any.
Uganda’s Yoweri Museveni and Rwanda’s Paul Kagame however regularly wear army uniforms, perhaps because they were army commanders themselves.
Here are the photos
uhuru1
uhuru2
uhuru3
uhuru4

JENGO LA ZAMANI LA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA VIJANA WA CCM TAIFA YAANZA KUBOMOLEWA


Alama ya Nguvu ya Kijana kwa Taifa

jengo la kihistoria la UVCCM limeanza kubomolewa kupisha ujenzi mwingine wa jengo la vijana
.
HONGERENI SANA VIONGOZI WAKUU WA UVCCM KWA JUHUDI NA HATIMAE YAMEANZA KUTIMIA.

ni akili ya kawaida sana kama mzee Sabodo aliwauliza wale watani zetu niwasaidie nini,,,,kumwambia tu "mzee tunakiwanja bunju tujengee ata jengo la makao makuu ya BAVICHA,,," ni akili tu ya kawaida sana ,,,,LAKINI DUU
WATU WANAPENDA CASH,,,WASHAIMALIZA,,,babu na wenzake

HAYA YANATAKA KUFIKIRI

TWENDENI PAMOJA UVCCM
UMOJA NI USHINDI


MSICHANA ALAZIMISHWA KUFUNGA HARUSI NA MBWA: SOMA HAPA ===>


Msichana wa miaka 18, raia wa India aliyetajwa kwa jina la Mangli Munda amefunga ndoa na mbwa baada ya kulazimishwa na wazazi wake kufanya hivyo kwa imani kuwa atafukuza roho za kishetani na mikosi inayomsonga.

Mbwa huyo alitafutwa na baba mzazi wa mrembo huyo na kufanyika sherehe kubwa ikiwa na vitendo vyote vinavyofanywa na ya bibi harusi na bwana harusi kwa taratibu zao za ndoa.

Kwa mujibu wa Yahoo News, msichana huyo hakuwa na furaha kabisa na alieleza wazi jinsi alivyochukizwa na kitendo hicho, “Siifurahii kabisa hii ndoa.”

“Tulilazimika kutumia pesa nyingi kwa ajili ya hii ndoa. Hiyo ndiyo njia pekee tunayoweza kufanya kuondoa mikosi aliyonayo na kufanya tendo jema kwa ajili ya kijiji chetu.” Amekaririwa mama yake Munda.