
Ukishangaa
 ya musa utayaona ya firauni, hivi karibuni baada ya zitto kumkana Diva 
mtangazaji wa alla za roho wa clouds FM, Kuwa hajawahi kuwa naye 
kimapenzi na Diva amekuwa akijitangaza sana amekuwa naye kimapenzi, sasa
 Diva kamuanika hadarani ona hapo chini, ila duu huyu mwanamke ni 
kiboko,salaleeeeee


 
Poor Diva! She is being used just like a doormat to serve a purpose alien to her!
JibuFuta