Mwanasoka amnbaye kwa sasa ni Pasta, Taribo West ameshika namba moja katika orodha ya wanasoka waliokuwa na staili za nywele za ajabu kuliko wote Duniani, World Soccer Talk imeweka Top Ten ya wanasoka wenye mitindo ya nywele za ajabu waliopo sasa ivi na waliostaafu West bado ameshikilia namba moja
4.Giovanni Simeone
5.Ronaldo
6.Marouane Fellaini
7. Trio of Defenders -David Luiz, Fabricio Coloccini, and Carles Puyol.
8.Rene Higuita
9.David James
10. Raheem Sterling
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni