Jumla ya Mara Iliyotazamwa

17 Ago 2014

MKE WA DK SLAA ASEMA KUMPELEKA POLISI HABIBU MCHANGE

MKE  WA   DK  SLAA   ANAPANGA    KUMPELEKA  POLISI     BW   MCHANGE   AMBAYE    HIVI  KARIBU  ALITOA   SHUTUMA   NZITO   KWA   VIONGOZI  WA   CHADEMA  AKIWAHUSISHA  NA  MAUJI  YA   CHACHA  WANGWE ,    KUPITIA  UKARASA  WAKE  WA  FACEBOOK   BI;  JOSEPHINE   MUSHUMBUSI  AMESEMA  HIVI




Habibu Mchange lazima polisi wakuoji na kukamatwa.
Nitalisimamia hili



Mke  wa   dk   Slaa    ambaye   anapanga  kumpeleka   polisi    HABIBU   MCHANGE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni