Jumla ya Mara Iliyotazamwa

18 Ago 2014

WABUNGE FILIKUNJOMBE NA MNGONGO WASIMIKWA KUWA WALEZI WA UWT



Mbunge  Filikunjembe na Mafulu  wakipongezwa  kwa  kuteuliwa  walezi wa UWT  Njombe
Dr Suzana  Kolimba wa  tatu kushoto  akipongezwa kwa mchango  wake  UWT
walezi  wa UWT  mkoa  wa NJombe mbunge wa  Ludewa  Deo  Filikunjombe ( kulia ) na mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Lediana Mafulu wakipongezana kwa kuteuliwa  kuwa  walezi wa UWT mkoa wa Njombe
 
Wabunge Filikunjombe na Lediana wakiwa katika pozi
CHANZO;MJENGWABLOG

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni