Jumla ya Mara Iliyotazamwa

19 Ago 2014

MAULID KITENGE WA RADIO ONE AHAMIA RADIO EFM 93.7


Mtangazaji mahiri wa habari za michezo wa siku nyingi Maulidi Baraka Kitenge amejiunga na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar Es salaam.

Kutokana na tafiti ya ipsos ya mwaka 2013, inasemekana kuwa mtangazaji huyo wa zamani wa kituo cha redio one,ndie mtangazaji bora wa michezo nchini Tanzania.

Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM,Dickson Ponela,ameeleza kufurahishwa kwake kwa mtangazaji huyo kinara kuhamia katika kituo hicho.

Maoni 1 :