Vimwana
wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la pamoja ikiwa ni sehemu ya
maandalizi yao ya kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika
kwenye Ukumbi wa TCC, Chang'ombe jijini Dar es Salaam Agosti 22, 2014.
Jumla ya washiriki 17 watapanda jukwaani siku hiyo
Warembo hao wakitembea kwa mwendo wa madaha.
Wakiwa wamepozi wenyewe.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni