Rais Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne
Rais Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa
kidato cha 4, Neema Mtwanga mwenye umri wa miaka 16 wa shule ya
Sekondari Naboti iliyopo mkoani Njombe baada ya kuibuka mshindi wa
kwanza katika utunzi wa Insha katika shindano lililoandaliwa na SADC.
kama umefurahishwa na ushindi wa binti huyu, tupia 'HONGERA' yako hapa tumpongeze.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni