Baadhi ya vijana wakitanzania tumekuwa tunaendekeza ujinga kupita maelezo kwasababu tunatumia muda wetu kwa mambo yasiyo kuwa na tija yoyote katika maisha yetu , mfano huyu mtu aliyetengeneza picha hii na kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii amepata faida GANI ?? Alafu mpuuzi kama huyu utamkuta analalamika anasema maisha magumu na kweli lazima maisha yawe magumu kama akili yako inawaza ujinga kama huu kwasababu kwa mtindo huu uwezi kuendelea kamwe,,,,,
vijana wa kitanzania umefika wakati wa kubadilika sasa......huyu Diamond anaingiza pesa nyingi kwa kazi yake ya mziki sasa wewe uliyetengeneza hii picha umeingiza bei gan??..
ujumbe huu umeandikwa na RESPICIUS FRANCIS
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni